Category: MCHANGANYIKO
Dk Mpango ataka Afrika kubuni njia bora uendelezaji rasilimali za nishati kukidhi mahitaji
📌 Asema upatikanaji wa Nishati Afrika bado ni mdogo kulinganisha na Mabara mengine 📌 Asisitiza uendelezaji wa vyanzo vya Nishati uzingatie mustakabali wa vizazi vijavyo 📌 Afungua Kongamano na Maonesho ya Petroli kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25) Makamu wa…
Kilwa yaendelea kufurika watalii
📍Meli ya “Le Bougainville yaleta wengine zaidi ya 130. Na Beatus Maganja Meli ya Kifahari ya kitalii ya “Le Bougainville,” imewasili leo Machi 05, 2025 katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa Kisiwani na Songo…
Profesa Mkenda: Miaka 30 ya VETA ni kielelezo cha mafanikio ya elimu ya ufundi Stadi nchini
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa Maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni kielelezo cha mafanikio makubwa ya serikali katika…
Salma Kikwete akemea malezi mabaya kwa watoto wa kiume
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amekemea vitendo vya baadhi ya watoto wa kiume kujibadili na kuwa na tabia za kike na kuomba wazazi kusema…
Tanzania, Canada kushirikiana kwenye kukuza ujuzi wa wadau sekta ya madini
▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini ▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum ▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini ▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa Vijana na wakina mama waungwa mkono 𝐓𝐨𝐫𝐨𝐧𝐭𝐨,𝐂𝐚𝐧𝐚𝐝𝐚 Waziri wa Maendeleo ya…
Balozi Ulanga aeleza Rais Samia alivyoing’arisha NFRA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA), Balozi John Ulanga amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini Rais Dkt Samia Suluhu Hassan umechangia mafanikio makubwa wakala kufanya…