Category: MCHANGANYIKO
Ajali yaua sita wakiwemo walimu wanne
Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Leo Desemba 28, 2024. Waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyohusisha gari ndogo aina ya Prado ( T 647 CVR ) ni walimu wanne…
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima
ALIYEKUWA Diwani wa Kata ya Bendera wilayani Same mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 2015-2020, Michael Mcharo (52), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma la mauaji ya Edson Shangari (59), mkulima kwa kumpiga…
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewaagiza wakandarasi wanaojenga barabara za Mradi wa Mabasi Yanayoenda Haraka (BRT) mkoani Dar es Salaam kuhakikisha ujenzi unakamilika kabla ya msimu wa mvua za masika mapema mwakani ili…
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan anawajali watu wenye Mahitaji Maalum kwani ameweka mazingira mazuri ya kuwalinda na kuwapatia…
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WATAALAMU wa Lishe katika halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani hapa wametakiwa kuongeza ubunifu utakaoleta matokeo chanya miongoni mwa jamii ikiwemo kuboreshwa afya zao. Rai hiyo imetolewa juzi na Mkuu wa Wilaya hiyo Sauda Mtondoo…
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Msako mkali uliopewa jina la ‘Operesheni Serengeti’ uliofanywa na Polisi wa kimataifa dhidi ya wizi na utapeli mitandaoni umefanikiwa kuwanasa watu 1,006; JAMHURI linaripoti. JAMHURI limeelezwa kwamba Operesheni Serengeti imefanyika katika mataifa 19…