JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Afrika tunayapa kipaumbele matumizi ya nishati safi kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi – Dk Biteko

๐Ÿ“Œ Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi ๐Ÿ“Œ Afungua Mkutano wa Awali EAPCE’25 ๐Ÿ“Œ Ataka utumike kujadili na kuweka mipango itakayowezesha matumizi ya Nishati Safi ๐Ÿ“Œ Ataka mkazo kuwekwa kwenye Nishati Safi ya Kupikia kwani matumizi…

Tanzania yapokea faru weupe 17 kutoka Afrika Kusini

Na Kassim Nyaki, Ngorongoro Kreta, Arusha. Serikali kupitia wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 17 kutoka kampuni ya AndBeyond ya nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi, utafiti na elimu katika…

Tutende mema Ramadhani kuuishi Uislamu : Mwinyi

Na Mwandishi Maalum Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu kuutumia muda vema wakati huu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya mambo mema yenye…

Makalla : Lissu namuhurumia, anaingia katika historia ya kwenda kuiua CHADEMA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kwani mabadiliko yameshafanyika, hivyo…

Bilioni 4.5 kutumika kwenye miradi ya maji kwa vijiji 17 Bukoba

Wakalaย wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wanaendelea kutekeleza miradi ya maji yenye thamani ya Sh bilioni 4.5 katika Halmashauri ya Bukoba ambayo itanufaisha vijiji 17 na wananchi 29,000. Meneja wa Ruwasa Halmashauri ya Bukoba, Evarsta Mgaya amesema kuwa miradi hiyo ni…

Wanajeshi wa Congo wafikishwa kizimbani kwa tuhuma za ubakaji na mauaji

Wanajeshi wa Congo wakiwa na mchanganyiko wa nguo za kijeshi na za kawaida, walijaa kwenye kanisa wiki iliyopita kujibu mashtaka ya uhalifu ikiwa ni pamoja na ubakaji na mauaji yanayodaiwa kufanywa walipokuwa wakikimbia waasi wa M23. Kauli zao wakati wa…