Category: MCHANGANYIKO
JKCI yaanza kutibu wagonjwa wa moyo Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TAASISI ya Moyo ya (JKCI), imeanza kambi ya siku nne ya kupima na kutibu maradhi ya moyo kuanzia kesho kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI,…
Uganda yavutiwa maendeleo ya mradi wa EACOP hapa Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Kanali (mstaafu) Fred Mwesigye amevutiwa na utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) ,akisema kukamilika kwa mradi huo utakuza uchumi wa mataifa hayo mawili…
Rais Samia akizungumza na viongozi pamoja na wananchi wa Sengerema
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Rais Samia: Kiongozi anayeweka Tanzania kwenye ramani ya maendeleo ya sekta ya madini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, alifunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita. Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa…
TCRA, TAMWA wazindua tuzo za waandishi wa habari za maendeleo ‘Samia kalamu awards’
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es salaam Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wametangaza rasmi Mashindano ya Tuzo za Waandishi wa habari za maendeleo ‘Samia Kalamu Awards’ zenye kauli mbiu ya…