JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga

📌 Awahimiza wataalamu kusimamia zoezi la kuziunganisha Gridi za Tanzania na Kenya kwa umakini bila kuathiri upatikanaji wa umeme kwenye mfumo wa Gridi ya umeme Nchini 📌 Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP Mkurugenzi…

Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow

Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico amefanya ziara ya kushtukiza mjini Moscow kwa mazungumzo na Vladimir Putin – akiwa ni kiongozi wa tatu pekee wa nchi za Magharibi kukutana na kiongozi huyo wa Urusi tangu uvamizi kamili wa Ukraine miaka…

Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika

Na Lookman Miraji Waziri wa Katiba na Sheria Dkt: Damas Ndumbaro amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Baraza Maalumu la Mawaziri wa Sheria la umoja wa Afrika katika kikao kilichowakutanisha mawaziri, mabalozi na wataalamu katika sekta ya sheria ya umoja wa Afrika….

Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi

Na Lookman Miraji Ikiwa ni mwezi Disemba ambapo hivi karibuni mwaka 2024 utakwenda kuhitimika kwa sikukuu za mwisho mwaka, mataifa mawili ya Tanzania na Urusi yameendelea kudumisha ushirikiano wake uliokuwepo tangu miongo kadhaa nyuma. Ushirikiano kati ya Tanzania na taifa…