JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

RC Makonda aridhishwa na maendeleo ya mradi wa madaraja ya King’ori barabara ya Arusha – Moshi

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa madaraja mawili ya King’ori yanayojengwa katika barabara kuu ya Arusha – Moshi na kuridhishwa na kasi na ubora wa…

Kenya yajitenga na Karua yatetea uamuzi wa Tanzania

Serikali ya Kenya imetetea uamuzi wa Tanzania kuwakataa baadhi ya viongozi wa kisiasa na wanaharakati wa Kenya kuingia nchini humo, hatua ambayo imezua mjadala mkali katika kanda ya Afrika Mashariki. Kupitia kwa Msemaji wake, Isaac Mwaura, serikali ya Kenya imesema…

Ifahamu mimea mitano inayolindwa zaidi duniani

Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mimea ni asilimia 80 ya chakula cha binadamu na asilimia 98 ya oksijeni. Pamoja na umuhimu huo bado iko kwenye tishio dhidi ya mazingira na viumbe wakiwemo…

DCEA yateketeza mashamba ya bangi ekari 157 Kondoa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kondoa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo…

Tanzania yajipanga kuja na Mahakama ndani ya SGR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Tanzania imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati. Ofisa Mtendaji Mkuu…