Category: MCHANGANYIKO
Pembe : Polisi, Wizara kuchunguza tukio la kudhalilishwa mtoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WMJJWW), Riziki Pembe Juma amesema Wizara hiyo inaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuona upelelezi wa kesi ya Mtuhumiwa Ramadhani Hamza Hussein (28) Mkaazi wa…
‘Nchi imeendelea kujitosheleza kwa chakula kwa asilimia 128’
*Utoshekevu huo umetokana na ongezeko la matumizi ya mbolea ya ruzuku *Mbolea ya ruzuku ya Sh Bilioni 131 ilisambazwa kwa wakulima katika mwaka 2024/2025 Na Mwandishi Wetu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema nchi imeendelea kujitosheleza kwa chakula kwa asilimia 128,…
Waziri Mkuu : Trilioni 1.59 zatumika kuunganisha umeme vijiji 4,071
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tangu Novemba, 2020 hadi Februari, 2025 Serikali imeunganisha umeme katika vijiji 4,071 kwa gharama ya sh. bilioni 1,593 na hivyo kuwezesha vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara kuunganishwa na umeme. “Hatua inayofuata baada ya kukamilisha…
Dk Makakala aipongeza CBE kwa kuzingatia usawa wa kijinsia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji Dk Anna Makakala, kuna umuhimu wa kuchukua hatua za dhati na za kimkakati ili kuhakikisha kuwa usawa wa kijinsia unakuwa sehemu ya maisha ya kila siku na kuhamasisha wanawake kujitokeza…
Waziri Mkuu aupongeza mradi wa EACOP kwa kutoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa ameupongeza mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuajiri Watanzania zaidi ya elfu sita wanaohudumu kwenye mradi huo mkubwa wa…





