Category: MCHANGANYIKO
Yanga wapata ‘screen protector’ mwingine
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kama ulifanikiwa kutazama mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Princess vs Simba Queens uliochezwa jana katika dimba la KMC Complex Mwenge jijini Dar, basi utakubaliana na mimi kwamba golikipa wa Yanga…
Vijiji vyote Mtwara vimefikiwa na umeme, sasa ni zamu ya vitongoji 150
Na Mohamed Saif, JamhuriMedia, Mtwara Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 150 utakaonufaisha kaya 4,950 mkoani…
RC Kunenge azitaka taasisi wezeshi kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakar Kunenge ameziagiza Taasisi Wezeshi, kuwa na Ushirikiano wa karibu na kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo ili kuboresha sekta ya Biashara na Uwekezaji. Aidha amezitaka Taasisi hizo zisigeuke…
Lina PG Tour yamsogeza Mollel karibu na Dubai
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Mchezaji gofu ya kulipwa Nuru Mollel ana uhakika wa kutwaa ubingwa wa michuano baada ya kushinda raundi ya nne ya michuano ya Lina PG Tour mjini Moshi. Mollel kutoka klabu ya Arusha Gymkhana amejiweka katika…
RC Kunenge awahimiza wazee Kibaha mji kumtunza na kumlinda Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaj Abubakari Kunenge amewahimiza wazee kuhakikisha kwamba wanaweka misingi mizuri na imara kwa ajili ya kuweza kumsapoti Rais wa awamu wa sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumlinda, kumtunza na…
Dk Yonaz : Hali ya chakula nchini inaendelea kuimarika
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Mwanza KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema hali ya lishe nchini imeendelea kuimarika kwa kwa kuzingatia Takwimu zinaonesha kupungua kwa viwango vya utapiamlo kwa…