Category: MCHANGANYIKO
Atakumbukwa daima mpiganaji wa haki na msomi wa fasihi Ngugi wa Thiong’o
Na Mwandishi Maalum Ngugi wa Thiong’o, gwiji wa fasihi kutoka Kenya na mpigania haki kwa njia ya kalamu, ameaga dunia akiwa na miaka 87. Kazi zake zilijikita katika kupinga ukoloni wa kiakili, na kuhimiza matumizi ya lugha za Kiafrika. Ngugi…
Wananchi Njombe wahamasisha kupata huduma za madaktari wa Rais Samia
Na WAF, Njombe Wananchi mkoani Njombe wameshimdwa kuficha hisia zao mara baada yakupatiwa matibabu na kuamua kuhamasishana wao kwa wao kuhudhuria kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia inayoendea hivi sasa katika halmashauri zote za mkoa huo, kwani muda wa…
Ridhiwan akutana na balozi wa China nchini
✅ Wateta kuistawisha Sekta ya Kazi, Vijana, Ajira na Huduma kwa Watu wenye Ulemavu Na Mwandiahi Wetu, Jamhurimedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwan Kikwete amekutana na…
Mpango wa ‘Gurudumu la Mama’ wazinduliwa; hatua ya kuwainua vijana na kuzuia ajali
Na Dotto Kwilasa, Jamhuri Media, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya “Gurudumu la Mama”,ambayo ni mpango maalum wa kuwawezesha waendesha Pikipiki maarufu kana Bodaboda na bajaji kupata matairi mapya kwa mpango nafuu…





