Category: MCHANGANYIKO
Hali ya umeme Arusha yazidi kuimarishwa
📌Ni kufuatia upanuzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Njiro 📌Kituo chafungwa transforma yenye MVA 210 kutoka MVA 90 ya awali 📌Dkt. Biteko aipongeza TANESCO kuendelea kuwapa watanzania huduma ya umeme wa uhakika Mkoa wa Arusha sasa umewezeshwa kupata umeme…




