JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wananchi watakiwa kutumia fursa ya miradi kuunganisha umeme – Kapinga

📌 Lengo ni wananchi kuepuka gharama inayotokana na kuunganisha umeme wakati miradi imekamilika Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi mbalimbali ya umeme inapotekelezwa ili kuepuka gharama inayoweza kutokea pale miradi…

CAG Kichere aipa heko TANROADS ujenzi uwanja wa ndege Msalato

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere amepongeza kasi ya ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato wenye ukubwa wa hekta 4,500 ( hekari 11000). CAG Kichere ametoa…

Mvua yapoteza miundombinu Chuo cha Sauti Mtwara

Na Mwandishi Wetu, Mtwara Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Februari 3,2025 imesababisha maafa kwa baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara hususani kwa wanafunzi wa Chuo cha Sauti na Utumishi. Maafa hayo yametokea mtaa Kiyangu ‘B’ ambako wanafunzi…

Mahakama ya Afrika yajadili masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia l, Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) leo imeendesha semina juu ya ujumuishaji wa masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia huku kundi la wanawake likitajwa kuathiriwa zaidi na ukiukaji wa…

Waziri Silaa aiagiza bodi UCSAF kusimamia ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa (Mb), ameiagiza Bodi mpya ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuhakikisha inasimamia kwa ukaribu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini….

Taasisi za haki jinai na madai zinahitaji mabadiliko na mageuzi makubwa – Jaji Mugeta

Na Happy Lazaro, JamhuriMesia, Arusha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha Ilvin Mugeta amesema kuwa taasisi za haki jinai na madai zinahitaji mabadiliko na mageuzi makubwa katika utekelezaji wa majukumu yao Ili kurudi katika misingi ya…