JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Mstaafu Kikwete aenda Japan kwa ziara maalum yenye lengo la kuimarisha elimu

Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa  Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE), yupo Tokyo nchini Japan kwa ziara maalum yenye lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya GPE na serikali ya Japan katika kutatua changamoto za…

Tanzania Kushiriki Maonesho ya Expo Osaka mwezi ujao

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeeleza kuwa inaendelea na uratibu wa ushiriki wa Tanzania katika Maonesho ya Expo 2025 Osaka, yatakayofanyika kuanzia 13 Aprili hadi 13 Oktoba, 2025, katika jiji la Osaka, Japan….

Vijiji vya Milo, Buyuni vyakabiliwa na mgogoro wa wakulima na wafugaji, wasitisha kilimo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze WAKAZI wa vijiji vya Kitonga, Milo, na Buyuni, kata ya Vigwaza, Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani, wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ubovu wa barabara, hali inayowapa usumbufu mkubwa. Aidha, baadhi ya wakulima wameeleza kukerwa na…

Wafanyakazi wanawake TPA watoa msaada hospitali za Temeke na Kigamboni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAFANYAKAZI wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wametoa msaada wa vifaa tiba kwa hospitali ya Wilaya ya Kigamboni na hospitali ya Rufaa ya Temeke vyenye thamani ya shilingi milioni 49…

Majaliwa azindua kituo cha mabasi Nzega Mjini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 13 amezindua kituo kipya cha Mabasi cha Nzega Mjini mkoani Tabora ambacho ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 4.327. Akizungumza baada ya kuzindua kituo hicho ambacho utekelezaji wake umefikia asilimia…