Category: MCHANGANYIKO
Mramba: Kununua umeme nje ya nchi, haimaanishi kuna upungufu nchini
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kuwa ununuzi wa Umeme kutoka nchi Jirani haimaanishi kuwa nchi iko katika changamoto ya upungufu wa umeme kwa kuwa mpaka sasa Tanzania inazalisha…
Kunenge aungana na jamii, watoto kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais Samia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaji Nuhu Mruma, amehimiza ktika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadan ni muhimu kwa Watanzania kuendelea kushikamana, kuwa wamoja, na kujali yatima, hasa wale walio na mahitaji…
NHIF yajivunia mafanikio yake kwa kipindi cha miaka minne
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya(NHIF)Dkt. Irene Isaka amesema Serikali ya Awamu ya Sita imefanya jitihada mbalimbali za kuboresha Mfuko huo ambapo hadi kufikia Disemba 2024, mfuko una ziada ya shilingi bilioni 95…
NCAA yavuka lengo ukusanyaji mapato
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mamlaka ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)imeeleza kuwakuwa, katika mwaka wa fedha 2024/25 kuanzia mwezi Julai hadi Februari 2025, imeshakusanya shilingi bilioni 212 huku idadi ya watalii ikifikia 830,295 ambayo inayojumuisha watalii wa nje 509,610 na…





