JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Watendaji uboreshaji wa daftari awamu ya pili watakiwa kuzingatia sheria- INEC

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Uchaguzi wakati wa utekelezaji wa awamu ya pili ya…

Vita vya kibiashara vya Trump vyatawala mkutano wa BRICS

Vita vya kibiashara vilivyosababishwa na sera mpya za ushuru za rais Donald Trump wa Marekani vimeutawala mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za BRICS unaofanyika mjini Rio de Janeiro, Brazil. Mawaziri wa mambo ya nje wa Brazil,…

DC Mbeya awataka vijana wasomi kutumia elimu waliyopata kubuni miradi

Na Manka Damian, Jamhuri Media,Mbeya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Beno Malisa amewataka vijana wasomi kutumia elimu walizopata katika vyuo mbalimbali hapa nchini kubuni miradi na kuifanya bila ya kuwa na ulazima wa uwepo wa fedha ilimradi kama watakuwa waaminifu….

Serikali yatatua mgogoro wa mwekezaji na wachimbaji wadogo Ifumbo, Chunya-Mbeya

Ni maelekezo ya Rais Dkt. Samia kutafuta ufumbuzi wa mgogoro huo  Waziri Mavunde aelekeza Wanakijiji kupewa Leseni kuhalalisha uchimbaji wao Mwekezaji aruhusiwa kuendelea na uwekezaji kwa Leseni za eneo la Lupa Market Uchimbaji wa Eneo la Ifumbo wasimamishwa mpaka vibali…

Majaliwa : Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa vyombo vya habari

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao. Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya habari vinakutana…