JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

ACT ni suluhisho la changamoto Kizenga – Abdul Nondo

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, amewataka wananchi wa Kijiji cha Kizenga, Kata ya Bitale, Jimbo la Kigoma Kaskazini, kuchagua wagombea wa ACT Wazalendo katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024,…

‘Vijana mbuni miradi inayoendana na fursa’

Na Mwandishi Wetu, JamuhuriaMediaDar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Sharif Ali Sharif amewataka vijana wa Kitanzania kubuni miradi inayoendana na sera za uwekezaji katika nchi ili waweze kuwa sehemu ya kujenga uchumi…

ACT – Hatukubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani

Yatoa mpango wa kufufua maendeleo Nambani, Dar Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni sehemu ya kampeni…

RC Chalamila wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura Novemba 27, 2024

-Asema mkoa una jumla ya mitaa 564 ambayo itashiriki uchaguzi huo -Vituo vya kupiga kura katika mitaa vimeongezwa ili kuwafikia wananchi wengi zaidi. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa…

Waziri Kabudi azindua siku 16 za uarakati za kupinga ukatili Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Dalaam WAZIRI wa Sheria na Katiba Profesa Kabudi Palamagamba amezindua rasmi siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia wenye kauli mbiu ya kuelekea miaka 30 ya Beijing changua kutokomeza ukatili wa kijinsia….