Category: MCHANGANYIKO
Wachimbaji wawili wa dhahabu wafariki Bariadi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Simiyu Wachimbaji wadogo wawili katika mgodi wa dhahabu Ikanabushu namba mbili ulioko katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wamekufa baada ya kufukiwa na shimo lililoporomoka wakiendelea na uchimbaji. Tukio hilo ni la usiku wa kuamkia Januari 15,…
Makosa ya udhalilishaji kijinsia yapungua Zanzibar
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Desemba, 2024. Ikilinganishwa…
SGR yasafirisha wajumbe 922 kwenda vikao CCM Dodoma
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema wametoa treni maalumu ya kisasa (SGR) kusafirisha takribani watu 922 wanaotarajiwa kushiriki kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika kesho na kesho kutwa…
NINIDA yaja na mbinu mpya kuhakikisha vitambulisho vinachukuliwa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wale wote ambao hawakujitokeza kuchukua vitambulisho vyao vya Taifa vilivyopelekwa katika ofisi za Kata, Vijiji, Mitaa, Vitongoji na Shehia kufika katika ofisi za NIDA za wilaya walikojisajili kuchukua vitambulisho vyao mara watakapopokea ujumbe…
TRA kushirikiana na viongozi Serikali za Mitaa kuimarisha Ukusanyaji Kodi Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetoa elimu kwa viongozi wa serikali za mitaa Kariakoo, kuhusu sheria mbali mbali za ulipaji kodi ikiwamo kodi ya zuio la pango, namna mpangaji wa nyumba anavyopaswa kukata…
Akiba Commercial Bank yazawadia washindi wa Kampeni ya Twende Kidijitali tukuvushe Januari
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Akiba Commercial Bank imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni “twende kidigital tukuvushe Januari” na imewahimiza kuendelea kutumia huduma zake za kidijitali kama vile ACB Mobile, Internet Banking, ACB VISA Card, na ACB Wakala ili…