Category: MCHANGANYIKO
Uwezo wa mitambo ya kufua umeme wafikia megawati 3,091.71 – Kapinga
📌 Wateja wapya 109,918 waunganishiwa na huduma ya umeme nchini 📌 Kamati ya Bunge yaipongeza TANESCO kwa kuimarisha Miundombinu ya umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuwa uwezo wa mitambo ya kufua…
Tujiepushe na ulevi wa ushindi – Lwaitama
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mzee Azavel Lwaitama amewataka wanachama cha chama hicho kuzingatia umoja wao hasa baada ya uchaguzi kumalizika, kwani migogoro ya ndani inaweza…
Msigombanie uongozi kwa ajili ya ubunge na udiwani
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wanachama wake kuhakikisha chama chao wanakwenda kujibu maswali ya kijamii katika maeneo wanayoishi, na si kila siku kujibu maswali ya kisiasa. Mbowe…
Mgeja :Tunawatakia heri wana-CCM kumpata Makamu Mwenyekiti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja, amewatakia heri wana-CCM katika mkutano mkuu wa kumpata kushika mikoba ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Abdulahman Kinana. Akizungumza leo Januari 16,…
TPA yafungua milango kwa sekta binafsi kuchangamkia fursa bandarini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeitaka sekta binafsi Tanzania kutumia fursa ya maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam kuitumia fursa hiyo kufanya biashara na kuongeza mapato ya taifa kuinua…