Category: MCHANGANYIKO
Megawati 30 za jotoardhi kuingia kwenye gridi ifikapo 2026/ 2027 – Dk Kazungu
📌 Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15 IRENA 📌 Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi 📌 Ngozi, Kiejombaka, Songwe na Luhoi yatajwa kuwa miradi ya kimkakati uzalishaji Jotoardhi Abu Dhabi, UAE Imeelezwa kuwa…
Maria Sarungi ahusisha utekaji wake na ukosoaji wa Serikali ya Tanzania
Mwanaharakati maarufu wa Tanzania, Maria Sarungi, amehusisha tukio la kutekwa kwake nchini Kenya na msimamo wake wa kukosoa Serikali ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi baada ya kuachiwa huru, Maria alidai kuwa watekaji wake walionyesha nia ya…
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Watoto mapacha wawili Danford Steven Seif (24) na Daniel Steven Seif (24) wanadaiwa kumuua mama yao Upendo Mathew Mayaya (42) kwa sababu ya imani za kishirikina. Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limethibitisha kuwakamata na kuwafikisha mahakamani mapacha hao ambao wote…