JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kuporomoka kwa jengo Kariakoo, mmoja afa, 28 waokolewa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwili mmoja na majeruhi 28 wameopolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, mapema leo.  Jitihada za uokoaji zinaendelea huku juhudi zikielekezwa kuwaokoa waliobaki chini ya kifusi hicho. Akizungumza baada…

TARURA Manyara kufungua barabara mpya Km 109

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Manyara ina mpango wa kufungua barabara mpya zenye urefu Km. 109 katika Wilaya ya Mbulu, Simanjiro pamoja na Babati katika mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo…

Jengo laanguka Kariakoo, uokoaji unaendelea

Kwa mujibu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji walipokea taarifa ya kuanguka kwa Jengo Kariakoo, vikosi vya kamandi zote za Mkoa Dar es salaam viko katika tukio hilo na kuendelea na uokoaji. “Zoezi la uokoaji linaendelea tayari tumefanikiwa kuokoa watu…

Walioteuliwa mawaziri la Trump wanakabiliwa na tuhuma za utovu wa nidhamu

Baadhi ya wateule wa Baraza la Mawaziri la Rais mteule wa Marekani Donald Trump wanakabiliwa na uchunguzi mkali, ikiwa ni pamoja na madai ya utovu wa nidhamu. Pete Hegseth aliyeteuliwa kuwa waziri wa ulinzi anakanusha madai ya unyanyasaji wa kijinsia…

Waziri Kijaji afanya mazungumzo na wadau mbalimbali COP20

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amehimiza mataifa yaliyoendelea kuunga mkono juhudi za nchi zinazoendelea ili ziweze kutekeleza kikamilifu agenda ya matumizi ya nishati safi ya kupikia. Ametoa wito huo wakati…