Category: MCHANGANYIKO
Baraza la Mitihani la Tanzania lafuta matokeo kwa wanafunzi 105 wa darasa la nne, 46 Kidato cha Pili
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Mitihani la Tanzania limefuta matokeo yote kwa jumla ya wanafunzi 105 wa darasa la nne na 46 wa kidato cha pili kwa kufanya udanganyifu na kuandika matusi. Aidha Baraza hilo limefungia…
DC Kyobya : Hairuhusiwi kulima, kuchunga ndani ya Pori la Akiba la Kilombero
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kilombero Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi Pori la Akiba Kilombero ambalo ni mahsusi kwa ajili ya kuhifadhi vyanzo vya maji, misitu…
Ukraine: Trump anaweza kumaliza vita na Urusi
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa kutotabirika kwa Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kunaweza kusaidia kumaliza vita na Urusi. Trump, ambaye anatarajiwa kuapishwa rasmi Januari 20, aliahidi kuumaliza mzozo huo wa muda mrefu wa takriban miaka mitatu ndani…
Polisi Songwe yakemea kuuza na kunywa pombe za kienyeji muda wa kazi
Polisi Kata ya Mlangali Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Robert Asumile Kasunga amekemea kitendo cha wananchi wa kijiji hicho kuuza na kunywa Pombe za kienyeji muda wa kazi na badala yake watumie muda huo kujishughulisha…
Kwa heri 2024; Kiswahili kimezidi kutandawaa – 2
MAADHIMISHO ya Siku ya Kiswahili Duniani (MASIKIDU), yalifanyika Julai 7, 2024 nchini Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote ambako lugha ya Kiswahili inazungumzwa. Lengo la maadhimisho haya ni kuitikia mwito wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi…