Category: MCHANGANYIKO
Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation na NEXLAW waungana kuinua wajasiriamali vijana Tanzania
Na Mwandishi Wetu Taasi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) na Kampuni ya wanasheria NEXLAW Advocates ya Dar es Salaam wamesaini rasmi makubaliano ya ushirikiano (MoU) yenye lengo la kuimarisha na kukuza ujasiriamali wa vijana nchini Tanzania kupitia Mpango wa…
Diwani Kisarawe azindua msimu wa nne wa mbio za Jerusalem
Na Lookman Miraji Diwani wa Kata ya Kisarawe 2, iliyoko katika Wilaya ya Kigamboni, Issa Hemed ameuzindua rasmi msimu wa nne wa mbio za hisani zijulikanazo kama Mbio za Jerusalem. Mbio hizo ambazo hufanyika kila mwaka chini ya uratibu wa…
TANESCO yaanza rasmi zoezi la kulipa fidia wananchi waliopisha ujenzi miradi ya umeme
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara 📌Ni mradi wa ujenzi wa njia kubwa ya kusafirisha umeme wa kilovoti 220 Tunduru -Masasi . 📌Jumla ya shilingi Bilioni 4.7 kutumika kulipa fidia kwa wananchi 📌Wananchi waahidi kuyahama maeneo ndani ya siku 30 walizopewa….
Waziri Mkuu ataka wakulima, wananchi kujiunga na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa,amewataka wakulima na wananchi kwa ujumla wahakikishe wanajiunga na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa, ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali na wadau wa maendeleo. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Aprili 27, 2025 wakati akifungua mdahalo…
ETDCO wakamilisha Mradi wa Kilovolt 132 Tabora-Ipole
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tabora Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekamilisha ujenzi wa Mradi wa laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye urefu wa kilomita 102 kutoka Tabora hadi Ipole, ambao utawasaidi…
Wavuvi waliozama Ziwa Victoria Kisiwa cha Rukuba bado hawajapatikana
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Musoma WAVUVI wawili kati ya wanne waliozama ziwa Victoria usiku wa Aprili 21,2025 bado hawajapàtikana licha ya juhudi za kuwatafuta. Akizungumza kwa njia ya simu na Jamhuri Media mmiliki wa mtumbwi waliozama nao wavuvi hao waliokuwa wakimfanyia…





