Category: MCHANGANYIKO
Wizara ya Fedha yataka wafanyabiashara kukopa mikopo rasmi ili kukuza uchumi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya fedha imewataka wafanyabiashara kote nchini kukopa mikopo rasmi kwenye taasisi za kifedha zinazotambulika ambazo zitaleta unafuu wa riba na kuwa na faida kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja. Hayo yameelezwa leo November…
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa gridi Mtwara na Lindi – Kapinga
๐ Lengo ni kuimarisha upatikanaji wa umeme ๐ Fidia kulipwa kwa wanaopisha mradi Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya…
Mkuu wa Majeshi awasili Mara kushiriki mazishi ya marehemu Jenerali Msuguri
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amewasili nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri wilayani Butiama Mkoani Mara tarehe 03 Novemba 2024 kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa wafiwa na kukagua maandalizi…
TARURA Kilimanjaro yatimiza ahadi ya Rais Samia
WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro imekamikisha ujenzi wa barabara ya Kisinane C yenye urefu wa Km. 0.80 kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo ni ahadi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Oktoba 2021…
Dk Biteko ahimiza upendo, amani na ushirikiano Sengerema
๐Asisitiza wananchi kushiriki Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa amani ๐ Asema Sengerema inahitaji maendeleo na si maneno Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amehimiza…
JOWUTA yataka sheria za kazi kuwalinda wafanyakazi katika vyombo vya habari
UTPC yaomba serikali kuingilia kati Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Singida Chama cha Wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini (JOWUTA) kimetaka Serikali kusimamia sheria za kazi kwa wafanyakazi katika vyombo vya habari kama zilivyo sekta nyingine ili waandishi wapate haki na stahiki…