Category: MCHANGANYIKO
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesambaza vikosi vya jeshi hilo mitaani kuhakikisha usalama wa raia hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Sambamba na hilo, jeshi hilo limepiga marufuku watu wasiokuwa na vibali kupiga…
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa kwa mwaka 2024, mitaji ya uwekezaji wa kimataifa iliyoingia nchini imeongezeka kwa asilimia 26, ikiwa ni jumla ya dola bilioni 42.1 za Kimarekani. Akizungumza katika mkutano uliowakutanisha viongozi…
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
*Aweka jiwe la msingi daraja la Sukuma linalounganisha Magu na Bariadi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mwanza waongeze kasi ya ujenzi wa daraja la Simiyu lililoko wilayani Magu kwenye barabara kuu…
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Halmashauri za wilaya zote zimeagizwa kuanzisha matamasha ya utalii na uhifadhi huku zikitakiwa pia kuwalinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu. Akizungumza Desemba 21, 2024 wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Utalii la Same kwa niaba…
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea…
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus M. Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani. Amemhamisha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng’anzi kutoka Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabaarani Tanzania kwenda Makao Makuu…