Category: MCHANGANYIKO
Kikwete polisi wanaanza kuyeyusha heshima uliyojijengea
Mwaka 2008 nilibahatika kuwa mmoja wa watu waliopata fursa ya kusafiri na Rais Jakaya Kikwete kwenda jijini Washington, Marekani. Safari hii ilikuwa ikihusiana na mambo mbalimbali lakini kubwa ni kushawishi Serikali ya Marekani kuridhia Mpango wa Millennia Challenge Cooperation (Account) – MCC.
Kivumbi Ligi Kuu Bara chaanza
Michuano ya Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu, inaanza kutimua vumbi kwenye viwanja saba tofauti, Jumamosi wiki hii. Agosti 31, mwaka huu, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lilitoa ratiba inayoonesha kuwa bingwa wa ligi hiyo atapatikana Mei 18, mwakani, wakati timu zote 14 zinazoshiriki zitakapokuwa uwanjani kuhitimisha mechi zake 26 kila moja.
Tanzania siku si nyingi haitatawalika
Kwa siku za karibuni nchi yetu imegubikwa na mambo mengi ya kuudhi. Taifa linapokuwa na polisi wezi, waporaji na wauaji, usitarajie kwamba litaendelea kuwa salama. Taifa linapokuwa na majaji kama wale tulioambiwa na Mheshimiwa Tundu Lissu, hakika tumekwisha.
Mwakyembe, Chambo wasitishwe
BAADHI ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamemwandikia barua Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu, Balozi Ombeni Sefue wakidai kuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe anafanya kazi kwa kutumia majungu anayopelekewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Omar Chambo.
Yah: Nguvu ya maji yaja, mtaua wangapi?
Wanangu, ka-jua ka leo kananikumbusha mandhari ya miaka mingi kabla Tanganyika haijaanza kuwa jangwa la kutisha na kushindwa kuhimili hali ya ukame na wakati mwingine kukosa maji ambayo yanasababisha hadi tukose umeme na kusababisha kuyumba kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi.
Sumaye, Nagu katika vita kali
*Muhtasari wa kikao wachakachuliwa, jina la Dk. Nagu laingizwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, kinakabiliwa na mpasuko unaosababishwa na uhasama ulioibuka kati ya Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
- Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali
- TEF yapongeza uteuzi Bodi ya Ithibati ya Wanahabari
- Waziri Mkuu amwakilisha Rais Samia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
- Vituo vya zana za kilimo kujengwa nchi nzima, wanaowanyonya wakulima kukiona
- Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia
Habari mpya
- Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali
- TEF yapongeza uteuzi Bodi ya Ithibati ya Wanahabari
- Waziri Mkuu amwakilisha Rais Samia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
- Vituo vya zana za kilimo kujengwa nchi nzima, wanaowanyonya wakulima kukiona
- Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia
- Waziri Jafo ataka wananchi kuacha kuchanganya mazao
- Asilimia 75 ya Watanzania wanatumia simu za mkononi, milioni 35 wanatumia mtandao wa intanenti
- Uvimbe uliomtesa kwa miaka 10 watolewa na mabingwa wa Rais Samia
- TASAC yakabidhiwa boti na Ofisi ya Waziri Mkuu kuimarisha ulinzi wa bahari
- TAEC kuwa mlezi wa programu maalum ya diploma masomo ya teknolojia ya nyuklia
- Lukuvi : Rais Samia hana deni huduma ya maji Ubungo
- Mashindano ya kuogelea Afrika kufanyika Z’bar
- Waziri Bashe awataka wakulima, wafugaji kuishi kwa amani
- Matumizi ya TEHAMA mahakamani yamesaidia kupunguza mrundikano wa mashauri – Prof. Gabriel
- Makonda abaini upotevu wa bil 1.3/- sekondari ya wasichana Longido