Category: MCHANGANYIKO
Wasira: Uamuzi wa Mkutano Mkuu umezingatia katiba ya CCM
*Awapa darasa wanaodai sababu ya CCM kupitisha wagombea urais *Asema yupo tayari kuwapa somo waifahamu vyema katiba ya chama Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliomchagua…
Ulega : Barabara Kuu Mwanza Mjini-Usagara kujengwa njia nne
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari kwenye Barabara Kuu kutoka Mwanza Mjini hadi Usagara kwa kuijenga kwa njia nne. Ulega amesema hayo…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda awasili nchini Tanzania
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Robinah Nabbanja, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, utakaofanyika tarehe 27 na 28 Januari 2025. Alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…
Rais wa Nigeria awasili nchini
Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Bola Ahmed Tinubu , amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025. Katika Uwanja…
Waziri Mkuu asisitiza matumizi ya nishati safi kwa Watanzania
*Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu *Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali kuweka mkazo kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kubadili utaratibu za kupika chakula ili…
Naibu Waziri Mkuu wa Namibia Awasili nchini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa wa Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya Namibia Mheshimiwa John Mutorwa, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati.Mkutano huo wa Wakuu wa Nchi za…





