Category: MCHANGANYIKO
Afrika Kusini, Cape Verde kufungua CAN
Timu za soka Afrika Kusini na Cape Verde zimepangwa kukwaana katika mechi ya ufunguzi wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (CAN), Januari 19, mwaka huu, nchini Afrika Kusini.
Alliance ya Mwanza yatwaa ubingwa Uganda
Timu ya soka Alliance ya jijini Mwanza, inayoundwa na wachezaji wenye umri chini ya miaka 11, imetwaa ubingwa wa mashindano yaliyozishirikisha nchi tisa.
Yah: Jamani sasa napenda kuwa rais wa nchi yangu.
Najua ili uweze kuwa rais wa nchi hii, katiba inakutaka uchaguliwe na chama chako kwa kura zinazotosha na upitishwe kwa vigegele na mkutano mkuu wa chama kwamba wewe unafaa kuwa kiongozi baada ya wenzako kuthibitisha kuwa hutawaangusha, lakini pia wenzako haohao ndio wanaokutayarishia kaulimbiu ya kuingia nayo katika ushindani uweze kuwashinda wapinzani wako.
Ujasiriamali ni ajira kamili (2)
Ninachokipenda sana katika ujasiriamali (katika mifumo rasmi), ni ile hali ya mtu kuwa na uwezo wa kutengeneza kipato kikubwa pasipo kufanya kazi zaidi na zaidi.
Sare za ‘Yesu’ zinawakwaza Waislamu
Naandika makala hii nikitambua kwamba wapo watakaoniunga mkono, na wapo mahafidhina watakaonishambulia.
FASIHI FASAHA
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti (7)
Mihadhara hiyo ya Kiislamu inasema kwamba Yesu alikuwa akivaa kanzu. Pili, Wakristo wenyewe katika michoro yao, filamu zao mavazi ya viongozi wao ni uthibitisho wa kutosha wa mavazi hayo.