Category: MCHANGANYIKO
Rais wa Jamhuribya Namibia akisalimiana na viongozi mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mhe. Mama Gertrude…
148 mbaroni kwa ubakaji, ulawiti Arusha
Na Mwandishi Wetu -Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi mkoani Arusha kupitia operesheni iliyofanyika kuanzia mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa limefanikiwa kuwakamata watumiwa 148 wa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji, ulawiti, dawa za kulevya na pombe ya moshi. Akitoa…





