JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Shindano la ‘KCB East Africa Golf Tour’ laanza rasmi Lugalo gofu

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shindano la Wazi la “KCB East Africa Golf Tour”limeanza Rasmi siku ya Leo katika Klabu ya Gofu ya ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Dar es Salaam. Akizungumza na Wanahabari…

Historia yaandikea utekelezaji mradi wa chuma Maganga Matitu

H📌 Ni Mradi wa Dola Milioni 77 kwa Maendeleo ya Viwanda Nchini 📌 Utafiti Waonesha Uwepo wa Tani Milioni 101 za Chuma 📌 Dkt. Biteko Ahimiza Wananjombe Kutumia Fursa za Mradi 📌TANESCO, REA Wapewa Siku 5 Kushauri Namna ya Kufikisha…

Wanasheria watatua migogoro ziara ya Rais Samia Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro TIMU ya wanasheria wa kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeambatana na Rais Samiua Suluhu Hassan kwenye ziara yake ya mkoani Morogoro kwaajili ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi. Rais Samia yuko katika…

Bodi ya Kahawa yaja na Mgahawa unaotembea

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Kahawa imezindua mradi wa mgahawa unaotembea maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko ya watu ili kuweza kutoa huduma ya unywaji wa Kahawa. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya wakulima na wafugaji…

TRA yawaita wananchi kutembelea banda lao maonesho Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewaasa wananchi wanaotembelea maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) waweze kufika katika banda lao ili waweze kupata elimu kuhusiana na masuala ya kodi pamoja na shughuli mbalimbali wanazofanya. Hayo yameelezwa…

Nkuba apinga ushindi wa mgombea TLS

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa mgombea urais Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Sweetbert Nkuba, amepinga yaliyompa ushindi wa urais Bonfice Mwabukusi. Nkuba amesema akubaliani na matokeo hayo na anapinga matokeo yaliyotangazwa na Kamati ya uchaguzi ya TLS kwasababu si matokeo…