JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Jerry Silaa atembelea TCRA Dar

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa leo ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zilizoko jijini Dar es Salaam. Amepokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Kuwe….

Serikali yaombwa kutambua mbegu asili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mtandao wa Bayoanuai Tanzania umeomba serikali kufanya mabadiliko kwenye  sheria ya Mbegu ya Mwaka 2003 na mabadiliko yake madogo ya Mwaka 2012 ili kuipa nafasi mbegu ya asili ya mkulima kutambulika na kuingizwa sokoni kama…

Hatua hii ya HESLB kutoa mafunzo ya Tehama ni ya kupongezwa

Na Dk. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Dodoma Ukosefu wa ajira ni moja ya tatizo linaloikabili nchi yetu na kimsingi si Tanzania pekee bali na nchi nyingi duniani. Kutokana na tatizo hili, hatua madhubuti na stahiki zimekuwa zikichukuliwa na wadau wote muhimu…

Waziri Kijaji abainisha mikakati ya mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema imejipanga kujenga kituo cha kurejeleza taka za plastiki pamoja na kuhifadhi na kuchambua taka ngumu kwa ajili ya kutumika kama malighafi ya viwanda. Kituo hicho…

Zungu mgeni rasmi mahafali ya tisa Chuo cha Furahika

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano la Tanzania mbaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Azzan Zungu anatarawa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Mahafali ya 9 Chuo cha Furahika Education…

Kisarawe kunogile, yaja na Bata Msituni Festival ndani ya msitu wa Kazimzumbwi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani inatarajia kufanya tamasha kubwa la Utalii liitwalo BATA MSITUNI INTERNATIONAL FESTIVAL, litakalofanyika katika hifadhi ya msitu ya Pugu -Kazimzumbwi septemba 3-8 mwaka huu. Tamasha hilo litahusisha nchi tatu ikiwemo Tanzania,…