Category: MCHANGANYIKO
Anne Makinda kuwatunuku wahitimu 264 HKMU
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAHITIMU 264 wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU) wanatarajiwa kutunukiwa shahada zao wakiwemo 115 wa binadamu wakati wa mahafali ya 22 siku ya Jumamosi. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar…
REA yaupamba mkutano wa kikanda wa Nishati Bora 2024
๐Matumizi bora ya nishati ya kupikia kupewa kipaumbele ๐Elimu ya utunzaji wa miundombinu ya umeme yatolewa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika jijini Arusha ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa…
Serikali za mitaa hivi, uchaguzi mkuu je?
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Novemba 27, 2024 Tanzania ilifanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi asilimia 99 na zaidi. Nimejaribu kufuatilia nini kimetokea? Nimebaki na maswali mengi. Yapo maeneo unatajiwa unaona harufu…
Umeme ni ajenda kubwa ya Serikali, tutafikisha umeme kwenye maeneo yote – Kapinga
๐ Akagua utekelezaji wa miradi ya umeme wilayani Monduli ๐ Asema fedha za miradi ya umeme zitasimamiwa ipasavyo kutekeleza ajenda ya umeme kwa wote ๐ Ampongeza Dkt.Samia kwa hatua kubwa iliyopigwa umeme vijijini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga,…
Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Dk Ndungulile
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 03, 2024 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yaliyofanyika eneo la Mwongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam….
Askari watatu wa hifadhi za misitu mbaroni kwa kuua mtoto
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu saba wakiwemo askari watatu wa Hifadhi za Misitu (TFS) na mgambo wanne baada ya kusababisha kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka 4 na kujeruhi mtu mmoja kwa…