JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Coast City yafana Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali kupitia wizara ya elimu itaangalia namna ya kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Shule ya Msingi Pangani, Kibaha Mjini, mkoani Pwani. Akizungumza baada ya kushiriki…

TCAA yaibuka mshindi wa tatu kwenye Mamlaka za Udhibiti tuzo za NBAA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeibuka mshindi wa tatu kwa upande wa Mamlaka za Udhibiti katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year…

Maambukizi ya VVU yapungua nchini – Mhagama

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kupungua kwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU )nchini Tanzania kutoka asilimia 7 mwaka 2003 /2004 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/2023 na kiwango cha maambukizi ya VVU kutoka kwa mama…

Kambi Tiba ya Madaktari wa Tanzania Comoro yaanza kwa kishindo

Na Mwandishi Wetu, Comoro KAMBI Tiba ya Madaktari Bingwa kutoka Tanzania nchini Comoro imeanza kwa mwitikio mkubwa wa wananchi wa nchini humo ambapo mamia wamejitokeza kupata huduma mbali mbali zinazotolewa kwa ushirikiano na madakatari wazawa katika Kisiwa cha Ngazidja. Madaktari…

Dkt. Mpango aipongeza Benki ya CRDB kuzindua Hatifungani ya ‘Samia Infrastructure Bond’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Hatifungani ya Samia Infrastructure Bond inayolenga kukusanya Shilingi bilioni 150 kwa ajili ya ujenzi…

FCC yapania kukuza ushindani wa biashara kwa haki

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMediaDar es Salaam Tume ya Ushindani (FCC) imedhamiria kutoa elimu kwa Watanzania juu ya namna nzuri ya kufanya biashara bila kudidimiza sera na taratibu za ushindani za ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Akizungumza leo Jijini…