Category: MCHANGANYIKO
Papa agundulika na ugonjwa wa homa ya mapafu
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amegundulika ana ugonjwa wa homa ya mapafu katika mapafu yake mawili na hali yake sio nzuri. Papa mwenye umri wa miaka 88, amekuwa akisumbuliwa na maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya…
Kiwango cha joto kuendelea kupanda kwa miezi mitatu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Utabiri wa hali ya hewa katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), umeonesha kuendelea kupanda kwa kiwango cha joto kwa miezi mitatu ya Januari, Februari na Machi 2025 pamoja na ukame. Mamlaka…
Dk Diallo: Nunueni pembejeo mapema baada ya kuuza mazao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Chato Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Anthony Diallo amewataka wakulima wa pamba kununua mbolea pindi wanapouza mazao yao ili kuwawezesha kuzitumia wakati msimu wa kilimo unapowadia. Amesema ni vyema…
Waziri Lukuvi akutana na wadau sekta binafsi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mheshimiwa William Lukuvi amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta binafsi katika kikao kilichoratibiwa na Baraza la Taifa…
PURA endeleeni kuwavutia wawekezaji shughuli za utafutaji mafuta na gesi – Kapinga
📌Ataka Duru ya Tano ya kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi asilia kuwa na matokeo chanya 📌Aipongeza PURA kuwashirikisha Watumishi kujadili mipango ya Bajeti ya Taasisi MOROGORO Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti…
DCEA yateketeza ekari 336 za mashamba ya bangi Kondoa, 114 wakamatwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani…





