JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Afya kwa vijana ilivyopunguza magonjwa ya ngono Morogoro

Na Irene Mark, JamhuriMedia, Morogoro “UKISIKIA Mzazi anamwambia kijana wake ‘mleke huyo kokudanila’ hicho ni Kiluguru maana yake mwache huyo anakudanganya, hapo Mtoa Huduma za Afya ngazi ya Jamii sina cha kumwambia huyo kijana akanielewa. …Na hiyo ilikuwa sababu ya…

Biteko mgeni rasmi uzinduzi Sera ya Taifa biashara 2003 toleo la 2023

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imefikia , mauzo ya nje Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika yameongezeka kutoka shilingi trilioni 2.607 mwaka 2016 hadi shilingi trilioni 4.422 mwaka 2023, na mauzo nje kwenye Jumuiya ya Ulaya yameongezeka kutoka…

Serikali haikubaliani na vitendo viovu dhidi ya watoto – Masauni

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema kamwe haikubliani na haitakubaliana na vitendo vya kihalifu wanavyofanyiwa baadhi ya watu wasio na utu wala ustaarabu dhidi ya watoto ikiwemo ubakaji,ulawiti, mauaji kwani…

Wananachi Mtakanini wilayani Namtumbo waipa tano Serikali kuwasogezea huduma za kibingwa za afya

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Namtumbo Wananchi wa Kijiji cha Mtakanini kilichopo katika Kata ya Msindo Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kuona umuhimu wa kusogeza huduma ya Madaktari bingwa kwa watu wanaosumbuliwa na magonjwa ya…

Mgombea urais TLS, Nkuba ajipanga kuleta mabadiliko ndani ya chama endapo atachaguliwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea wa urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),Sweetbert Nkuba ameelezea namna ambavyo amejipanga kuleta mabadiliko ndani ya chama hicho endapo atachaguliwa kushika nafasi hiyo. Moja ya mipango yake amesema ni kuboresha miundombinu…

Akatwa kiganja cha mkono kwa wivu wa mapenzi

MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Katente wilayani Bukombe, mkoa wa Geita, Rehema Paulo (26) amejeruhiwa na kitu chenye ncha kali kichwani, mkono wa kushoto na kutenganishwa kiganja cha mkono wa kulia chanzo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polisi…