Category: MCHANGANYIKO
TPA bingwa mashindano ya SHIMMUTA 2024
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeibuka kidedea baada ya imefanikiwa kunyakuwa Ubingwa wa Jumla wa Mashindano ya SHIMMUTA kwa mwaka 2024 katika michuano iliyofanyika jijini Tanga. Katika mashindano hayo ambayo yalifungwa rasmi na…
Tanzania yashinda tuzo ya utalii duniani
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imefanikiwa kushinda tuzo ya kuwa eneo maridhawa zaidi kwa utalii wa safari duniani katika hafla ya ugawaji tuzo za utalii duniani (World Travel Awards) zilizofanyika nchini Ureno. Tuzo za World Travel Awards…
Kairuki yaja na teknolojia kutibu saratani bila upasuaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Dk Fredy Rutachunzibwa wa Kairuki hospitali ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya HIFU (High-Intensity Focused Ultrasound), ameeleza namna tiba hiyo inavyotolewa bila upasuaji. HIFU ni…
Dk Biteko ahimiza Watanzania kupiga kura Novemba 27, 2024
📌 Asisitiza Kupiga Kura ni Haki ya Kikatiba Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani…
Nyumba, gari yako ikikutwa na dawa za kulevya itataifishwa
Na Isri Mohamed Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Mulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema endapo nyumba yako au gari yako ikikutwa na dawa za kulevya, basi itataifishwa kwa mujibu wa sheria. Kamishna Lyimo ameyasema hayo…