JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mahakama kutoa uamuzi wa hoja za mawakili wa Jamhuri na utetezi kesi ya Tundu Lissu Mei 6

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kutoa uamuzi wa hoja za Mawakili wa Jamhuri na Mawakili wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,…

Dk Biteko awasilisha bungeni Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/ 2026

📌 Yagusa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa asilimia 96.5 📌 Upatikanaji umeme wa uhakika. Nishati Safi ya Kupikia, Uendelezaji Gesi Asilia; Baadhi ya vipaumbele vya Bajeti 📌 JNHPP, Usambazaji Umeme Vijijini na Ufikishaji Gridi Kigoma; Baadhi ya mafanikio Bajeti…

Makamu wa Rais akizungumza na Balozi Nchimbi mara baada ya kuwasili nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini…

Afukuzwa msibani kwa kutelekeza mke na watoto sita kwa miaka 14

Na Manka Damian , JamhuriMedia, Mbeya KATIKA hali isiyokuwa ya Kawaida wananchi wa kata ya Itezi mtaa wa Gombe Kusini Mkoani Mbeya wamelazimika kumfukuza msibani mwanaume mmoja aitwaye ,Seleman Lukama baada ya kumtelekeza kwa miaka 14,mke wake Anna Anosyesye na…