JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emanuel Nchimbi ameeleza kufurahishwa na kasi ya utekelezaji miradi ya wananchi Mkoani Tabora baada ya kushuhudia baadhi ya miradi iliyotekelezwa katika Jimbo la Nzega. Akizungumza na…

BoT:  Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure

Benki Kuu ya Tanzania inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhamasisha matumizi  ya malipo ya kidijitali nchini. Mojawapo ya hatua hizo ni kuhakikisha kuwa malipo  yanayofanywa kwa kutumia mashine za malipo za wafanyabiashara (Point of Sale – POS) ni bure kabisa kwa…

Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Karatu Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana amemuapisha na kumvisha cheo cha kijeshi Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, CC Dkt. Elirehema Joshua Doriye huku akimtaka kuitumia nafasi…

Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam TAASISI zote za Serikali zilizopo katika Mkoa wa Dar es Salaam ambazo  zinahudumia  watu  zaidi ya 100 zimetakiwa kutekeleza bila shuruti  agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kuwa ifikapo Desemba 31,2024, ziache kutumia nishati…

Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same

Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amesema kuwa mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo zimesababisha madhara makubwa ikiwemo vifo vya watu Sita. Mvua hizo hadi kufikia asubuhi ya Desemba 23, mwaka huu pia zimeharibu…

Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Mjumbe wa Halmshauri kuu ya chama cha Mapinduzi (CCM) taifa (MNEC) Richard Kasesela amesema kuwa Mbunge au Diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe kwa kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametekeleza mikubwa kwenye kila…