Category: MCHANGANYIKO
Gavu awasili Geita kuzindua kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu. Gavu amewasili mkoani Geita leo…
Simba wazindua uzi mpya wa kimataifa
Na Isri Mohamed Klabu ya Simba leo Novemba 20, 2024 imezindua rasmi jezi mpya watakazotumia kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki ambayo ni kombe la shirikisho barani Afrika ( CAFCC) Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo iliyofanyika Katika duka…
REA kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 19,000 Mbeya
📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Rodrick Mpogoro ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia…
Waziri Chana akutana na Balozi wa Ujerumani Terstegen
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Thomas Terstegen jijini Dar es Salaam leo Novemba 20,2024 . Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na kuendeleza mashirikiano katika…
Wadau waombwa kusaidia kilim himilivu
Na Mwandishi Wetu WADAU wa maendeleo wameombwa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo nchini Tanzania, hasa kwa kundi la vijana na wanawake ili kuhakikisha wanaleta mchango katika sekta hiyo. Wito huo ulitolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Amina…
TMDA yaonya matumizi dawa kuzuia mimba, kuongeza nguvu
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Ziwa Mashariki, imeonya juu ya matumizi mabaya ya dawa za kuzuia ujauzito na kuongeza nguvu za kiume, ambayo yamebainika kuhatarisha afya za watumiaji. Onyo hilo limetolewa na Mkaguzi wa Dawa wa…





