Category: MCHANGANYIKO
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab amesema Serikali imeboresha mazingira ya Waandishi wa Habari ili kuongeza ufanisi katika kazi. Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha Asubihi Njema, kinachoendesha…
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam SERIKALI imeshakusanya umla ya Sh.Bilioni 325.3 katika kipindi cha miezi mitano (Aprili hadi Septemba 2024) tangu DPW Dar es Salaam waanze kuendesha Gati 0-7 katika Bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Katibu…
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
๐ Waziri Kapinga afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati Saudi Arabia ๐ Wajadili ushirikiano katika Mafuta, Gesi Asilia, Nishati Jadidifu na Nishati Safi ya Kupikia ๐ Saudi Arabia yaeleza kutambua juhudi za Tanzania kuimarisha Sekta ya Nishati ๐SAUDI ARABIA…
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
๐Dkt. Biteko asisitiza teknolojia itumike uchakataji zao la ndizi ๐Dkt. Biteko ahimiza uwekezaji viwanda vya kuongeza thamani mazao ya uvuvi na ufugaji ๐Kagera yaongoza kwa uzalishaji zao la ndizi nchini kwa asilimia 60 ๐Mradi wa Mashamba Makubwa ya Kahawa Kagera…
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
๐ MD Nyamo-Hanga na Viongozi wengine (TANESCO) wakagua Maendeleo ya ujenzi wa Mradi huo na kuahidi kuendelea kuusimamia hadi ukamilike ๐Megawati 1175 kutoka kwenye mashine tano zilizokwishakamilika zinazalishwa na tayari zimeungwa kwenye Gridi ya Taifa ๐ Utekelezaji wake kwa Ujumla…





