JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Stars leo afe kipa, afe beki..

Na Isri Mohamed Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo Novemba 19, 2024 itashuka dimbani Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 dhidi ya Guinea utakaopigwa saa kumi jioni. Stars ambayo…

President Samia poses tough questions at G20

By Deodatus Balile, Rio de Janeiro, Brazil President Samia Suluhu Hassan delivered a historic speech at the G20 Summit, posing tough questions to world leaders including U.S. President Joe Biden, Chinese President Xi Jinping, UK Prime Minister Keir Starmer, and…

Mwakinyo ashuka chini ya jengo kuokoa watu Kariakoo

Na Isri Mohamed Bondia Hassan Mwakinyo ametembelea soko la Kariakoo katika eneo lililopata maafa ya ghorofa kuporomoka na kujionea hali halisi ilivyo. Mwakinyo ametembelea usiku wa kuamkia leo ambapo mbali ametoa msaada ya kushuka chini ya jingo na kuongeza nguvu…

DC Mgomi: Yatumieni mafunzo mliyopewa kulinda amani ya nchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe MKUU wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi ametoa wito kwa wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba kushiriki kikamilifu katika suala zima la utunzaji wa amani hasa kipindi hiki ambacho Nchi inaelekea katika…

Rais Samia aongoza muda wa uokoaji Kariakoo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo. Rais Dkt. Samia ametoa maelekezo…

Malori 100 ya msaada wa chakula yaporwa Gaza, UNRWA yaonya balaa la njaa

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeripoti kuporwa kwa msafara wa malori 109 yaliyokuwa yakibeba misaada ya kibinadamu huko Gaza siku ya Jumamosi. Tukio hili linaongeza changamoto kubwa kwa wakazi wa Gaza ambao tayari wanakabiliwa…