JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Majaliwa aagiza mwenye jengo atafutwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta mhusika wa jengo lililoanguka Novemba 15, na kusababisha vifo vya watu 16, na wengine kuokolewa kwenye vifusi. Akizungumza leo Novemba 18, katika tukio la kuiaga miili ya watu 16, viwanja wa…

Bandari Mtwara yaendelea kuhudumia mizigo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema Bandari ya Mtwara iko imara na inaendelea kuhudumia mizigo ikiwemo shehena ya korosho kwenda nje ya nchi. Meneja wa bandari hiyo, Ferdinard Nyathi amesema mpaka sasa meli tano…

Waziri Silaa aweka bayana mikakati ya kuwezesha idara yake ya Habari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo Novemba 18, 2024 jijini Dar es…

Majaliwa aongoza waombolezaji kuaga miili ya marehemu ajali ya ghorofa Kariakoo

●Ata zoezi lanuokoaji liwe endelevu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 18, 2024 amekagua muendelezo wa zoezi la uokoaji katika jengo lililodondoka eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam na amesisitiza kuwa zoezi hilo ni endelevu hadi atakapotolewa mtu wa…

Waziri Mavunde awataka maafisa madini wakazi wa mikoa kusimamia sheria

Awapongezaukusanyaji wa maduhuli Asisitiza utatuzi wa migogoro kwa haraka WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuendelea kusimamia sheria kwenye utendaji kazi ili kuepuka migogoro inayoweza kujitokeza kati ya wachimbaji wa madini na ajali kwenye shughuli…