JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Polisi wathibitisha kifo cha katibu wa CCM aliyeuawa Iringa

Na Isri Mohamed Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limethibitisha kifo cha cha katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, Christian Nimrod Nindi (56), kilichotokea usiku wa kuamkia leo baada ya kupigwa na risasi akiwa nyumbani kwake kitongoji…

TWCC yatoa mafunzo kwa wanawake kuhusu maunuzi ya Umma

Na Dotto Kwilasa,Dodoma. CHEMBA ya wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC)kwa kushirikiana na Trademark Africa wamefanya mafunzo juu ya ushiriki wa wanawake na makundi maalum katika kada ya manunuzi ya Umma lengo likiwa ni kuongeza upatikanaji wa masoko na huduma za kibiashara….

CCM yasikitishwa kifo cha Katibu CCM Kilolo kupigwa risasi na wasiojulikana

Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo…

NIC yazindua msimu wa Pili wa ‘NIC Kitaa’

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Taifa la Bima (NIC) imezindua msimu wa pili wa Kampeni ya ‘NIC KITAA’ yenye lengo la kutoa elimu ya Bima kwa watanzania ili waelewe faida na muhimu wake. Akizungumza wakati wa…