JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ulega: Serikali itaendelea kuunga mkono sekta ya Kuku

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kuwa dhamira ya serikali ya awamu ya sita inaendelea kuunga mkono sekta ya Kuku kupitia miradi inayolenga vijana, ubunifu, na uendelevu. Ameyasema hayo wakati wa…

Naibu Waziri Mkuu Biteko azindua mkutano wa nishati wa Afrika

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri mkuu Dotto Biteko amezindua rasmi mkutano wa Afrika wa nishati. Mkutano huo umezinduliwa rasmi leo hii jumatano ya oktoba 16 katika ukumbi wa hoteli ya kempiski, Dar es salaam. Akizungumza hii…

Afrika Kusini yabariki siku ya Nyerere

Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Ikiwa ni oktoba 14 ya mwaka 2024 ambapo taifa la Tanzania linaadhimisha miaka 25 tangu kufuatia kifo cha aliyekuwa baba wa taifa la Tanzania Hayati Julius Kambarage Nyerere. Siku hiyo ambayo ni siku maalumu…

‘TAWIRI ni moyo wa uhifadhi wa wanyapori nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na Utalii endelevu. Chana ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024…

Wizara ya Madini kurejesha minada ya ndani na kimataifa madini ya viti

●Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ●Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ●Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite Dodoma Serikali kupitia Wizara ya…

Serikali kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za uchumi wa Buluu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za Uchumi wa Buluu nchini ili kuhakikisha wananchi wananufaika ipasavyo kwakutumia rasilimali hizo kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi…