Category: MCHANGANYIKO
Nchimbi awataka wana-CCM kuacha nongwa za uchaguzi Songea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi amewataka Wana CCM kuacha nongwa za uchaguzi bali washirikiane katika kukijenga chama na kuwaletea wananchi maendeleo. Hayo ameyasema jana kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya…
Dk Nhimbi alakiwa kwa shangwe na mkutano mkubwa Ubaruku, Mbarali
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali, wakiongozwa na vijana waendesha bodaboda, baada ya kuwasili na msafara wake katika Kata ya Ubaruku, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya,…
Watoto na vijana balehe wanaongoza kwa utumiaji wa simu za mkononi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia Mei 15 ,2024 taarifa ya hali ya Ukatili wa Watoto Mtandaoni (Disrupting Harm Report in Tanzania 2022) ya utafiti wa Serikali na UNICEF inaonesha katika nchi zote…
Jamii yakumbushwa umuhimu wa malezi bora ya familia
Na WMJJWM, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jonsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameiasa jamii kuona umuhimu wa malezi bora kwa watoto ndani ya familia kama chanzo cha jamii. Ametoa wosia huo Aprili 18, 2024 jijini…