JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Dkt. Samia kufungua mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini 2024

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika sekta ya madini mwaka 2024 utakaofanyika kuanzia Novemba 19 hadi 21,…

Maendeleo uwekezaji mradi wa Liganga na Mchumba

*Utazalisha tani 219 za Chuma *Tani 175,400 za Titanium *Tani 5000 za Vanadium Wakati Serikali ikiendelea na jitihada mbalimbali za kutafuta mwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,Tanzania inatarajiwa kuwa mzalishaji mkubwa wa madini…

TAKUKURU Pwani yazuia michango isiyofikishwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani, kwa kipindi cha Julai hadi Septemba, 2024 imefanikiwa kuzuia mfumo wa ukusanyaji wa michango ya waajiri ambao wamekuwa hawapeleki michango ya waajiriwa wao katika…

Tanzania kuungana na dunia usalama wa afya kimataifa

*Dkt. Biteko Afungua Kongamano la 14 la CUHAS * Dkt. Biteko Aipongeza CUHAS kwa Tafiti na Mchango wake katika Sekta ya Afya *Wanasayansi Kuunganisha Afya ya Binadamu, Wanyama na Mazingira kwa Matokeo Bora ya Afya Na Ofisi ya Naibu Waziri…

Mbaroni kwa mauaji ya mtoto wa miezi minne Bukoba

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikiria watuhumiwa wawili wa mauaji ya mtoto wa miezi minne yaliyotokea Novemba 9, mwaka huu ,katika kijiji cha Itahwa Kata ya Kalabagaine wilayani Bukoba mkoani Kagera. Kamanda wa Polisi mkoani hapo Blasius Chatanda amesema,wakiwa…

Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki wafikia asilimia 47.1

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa hadi sasa utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (Hoima, Uganda-Tanga, Tanzania) umefikia asilimia 47.1 na unatarajia kukamilika…