Category: MCHANGANYIKO
Matinyi : Uchumi wa Tanzania umeimarika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika kwa kukuwa kwa asilimia 5.2 kufuatia kuporomoka kutoka asilimia 7 hadi asilimia 4.2 mwaka 2020 ikiwa ni madhara ya mlipuko wa UVIKO-19 duniani, vita za Urusi dhidi ya…
Waziri Mkuu afuturisha Ruangwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, akisalimiana na wananchi mbalimbali waliohudhuria Iftafri aliyoandaa Machi 22, 2024 Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni sehemu ya kuonesha upendo na tukio la imani katika mwezi mtukufu wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa…
Putin kuwashughulikia wahusika shambulizi lililouwa watu 115
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amewatahadharisha wahusika wa shambulizi lililowaua watu zaidi ya 115 eneo la Crocus City Hall nchini humo kuwa atakumbana na adhabu kali. Akihutubia taifa hilo muda mchache uliopita, Putin amesisitiza kuanzia aliyewatuma hadi waliotekeleza uhalifu huo…
Madaraja 19 Ruvuma yasombwa na maji
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea MADARAJA 19 na baadhi ya barabara za maungio zimesombwa na maji mkoani Ruvuma kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Hayo yamesemwa na Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) mkoani Ruvuma…
Wizara yapokea muundo unaopendekezwa wa Shirika la Polisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea muundo unaopendekezwa wa Shirika la Uzalishaji Mali wa Jeshi la Polisi kutoka kwa timu ya Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiongozwa na Profesa John…
Naibu Waziri Pinda : Msiwahudumie wananchi kwa hali zao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Riangwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuacha kuwahudumia wananchi kwa kuangalia hali zao na badala yake watende haki katika kutoa huduma. Mhe…