Category: MCHANGANYIKO
Dk Ibenzi aeleza namna Serikali ilivyoitua mzigo Hospitali ya Rufaa Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Waganga wafawidhi wa hospital za rufaa Tanzania bara Dk. Stanslaus Ibenzi ameeleza kuwa kwa sasa Hospitali hiyo haielemewi na wagonjwa kutokana na Serikali kuwekeza…
Rais Samia aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wa Hafla ya kutoa Heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu wa awamu…
Warioba : Mwinyi aliingia madarakani hali iliwa mbaya
Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema changamoto zilizopo kwa sasa ni ndogo kulinganisha na kipindi Rais Ali Hassan Mwinyi aliposhika madaraka. Akizungumza wakati wa kuuaga mwili wa kiongozi huyo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Warioba amesema kipindi Mwinyi anaingia…
TAKUKURU kuziburuza mahakamani AMCOS daiwa
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) wilayani Chato mkoani Geita, imetishia kuviburuza mahakamani vyama vya msingi (Amcos) vinavyodaiwa kupora hela za Chama Kikuu cha ushirika cha “Chato Co-operative Union (CCU). Aidha imeagiza kupewa nyaraka…
Dk Mpango awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi
………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali…