Category: MCHANGANYIKO
Pinda : Tumieni kituo cha redio Mpimbwe kutangaza mazao ili kupata masoko
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Katavi Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amewataka wanawake wa Mpimbwe katika wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kukitumia kituo cha redio Jamii cha Mpimbwe fm…
Ujumbe wa Tanzaania wajifunza utengenezaji vifaa vya uongezaji thamani vito
Watembelea Kiwanda cha Mtanzania Aliyewekeza Nchini Thailand Bangkok Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo mwishoni mwa wiki aliongoza Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand kutembelea Kiwanda Earth Supply Co. Ltd kinachotengeneza Mashine zinazotumika katika shughuli za kukata, kutoboa na…
Dk Biteko asisitiza umuhimu wa EREA sekta ya nishati
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Udhibiti wa huduma za Nishati kwa nchi za Afrika Mashariki (EREA) Dkt. Geoffrey Mabea leo tarehe 26 Februari, 2024 jijini…
Sagini atoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi kufuatia ajali iliyoua watu 25 Arusha
Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini amefika Jijini Arusha na kukagua eneo la ajali lilotokea Februali 24, 2024 katika barabara ya Arusha – Namanga, Eneo la Ngaramtoni kibaoni Wilayani…
Watu 25 wafariki katika ajali baada ya lori na magari madogo matatu kugonga Arusha
Na Abel Paul -Jeshi la Polisi, Arusha Watu 25 wameafariki dunia huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ngaramtoni kibaoni by Pass ikihusisha Lori na magari mengine madogo matatu Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Akitoa taarifa ya…