Category: MCHANGANYIKO
Hekta 469,000 za misitu hupotea kila mwaka
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki amesema kuwa takwimu za sasa zinaonesha kuwa takribani eneo la misitu lenye ukubwa wa hekta 469,000 kila mwaka linapotea nchini. Amesema ni muhimu pia kwa wadau…
Mradi wa USAID ‘ Tuhifadhi Maliasili waonyesha mafanikio
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bagamoyo Imeelezwa kuwa mabadiliko ya tabianchi yamechangia kuwepo kwa mwingiiliano wa wanyama na binadamu na kusababisha kuibuka kwa migogoro. Hayo yamebainishwa na Dk Elikana Kalumanga kutoka RTI International ambaye ni Meneja wa Ushirikishwaji wa Sekta Binafsi…
RC S hinyanga awataka wazazi kuwapa lishe bora watoto
Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amewataka wazazi na walezi kuwalea watoto katika malezi bora, na kuwapa lishe bora, ikiwa ni pamoja na kuwasalimia watoto wakiwa tumboni ili wakue wakiwa na afya njema na akili….
Serikali yaja na suluhisho la upatikanaji wa nishati ya umeme migodini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanza mazungumzo na Kampuni ya TAQWA-DALBIT kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa upatikanaji wa nishati ya umeme migodini na maeneo yenye wachimbaji wadogo ili kuchochea shughuli za uchimbaji madini…
Waganga wafawidhi kuanza kulipwa posho za madaraka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kuanzia Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwalipa waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi nchini posho za madaraka kutokana na kazi kubwa wanayofanya ya kusimamia…
ACT-Wazalendo kuanza mchakato uchaguzi ndani ya chama
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo Kimewashauri wanachama hai waliolipa ada ndani miezi 12 kijitokeza kugombea nafasi mbalimbali za Chama ngazi ya Taifa ambapo zoezi la kuchukua fomu ni kuanzia 14Februar ha 24 ,2024. Akizungumza…