Category: MCHANGANYIKO
Serikali yaahidi kuboresha vituo vya forodha nchini
Na Joseph Mahumi, WF, Kilimanjaro Serikali imeahidi kuboresha vituo vya Forodha mkoani Kilimanjaro, kwa kuweka vifaa vya kisasa, kuboresha majengo ya ofisi hasa jengo upande wa mizigo (Cargo), kuboresha mazingira ya nyumba za watumishi wa kituo hicho na kuongeza vitendea…
Mume aua mke na mtoto kwa kuwanyonga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia mwanaume mmoja (jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Kaloleni, Wilayani Songwe akituhumiwa kwa mauaji ya Editha Msokwa (38) na mtoto wake mchanga wa miezi sita, Esther Emanuel chanzo kikielezwa kuwa ni wivu wa…
Majaliwa azindua mfumo wa kielektroniki wa kuhudumia wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mifumo na miuondombinu ya mifumo ili kuboresha ufanisi wa utoaji huduma, utendaji kazi na kupunguza urasimu unaokwamisha utekelezaji wa…
Maadhimisho Siku ya Moyo, JKCI kufanya vipimo vya moyo Dar
Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu “Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako” wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na…
MAIPAC kusaidia kompyuta shule ya Arusha Alliance
Mwandishi wetu, Arusha Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia Jamii za pembezoni (MAIPAC) imeahidi kutoa msaada wa kompyuta kwa shule ya msingi ya Arusha Alliance ambayo inamilikiwa na Walimu ili kuwezesha wanafunzi kusoma masomo ya TEHAMA. Mkurugenzi Mtendaji wa MAIPAC,Mussa Juma…
Miongo miwili ilivyoipaisha TMDA
Na Mwandishi Wetu Jamhuri Media, Dar es salaam Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata kwa kipindi cha miaka 20 tangu kuazishwa kwake. Tangu ianzishwa 2003 kama taasisi hadi 2023 TMDA imepiga hatua mbalimbali za mafanikio…