JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Matumizi ya umeme jua kwa wakulima yatawapunguzia gharama, wengi hawafahamu

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo,…

Shehe asimamishwa kazi kwa kufungisha ndoa feki

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora BARAZA la Mashehe Mkoani Tabora limemsimamisha kazi Shehe wa Kata ya Kidatu katika Halmashauri ya Manispaa Tabora, Bakari Sikonge, kwa kukiuka maadili ya dini kwa mujibu wa katiba inayoongoza Baraza hilo. Akitoa maamuzi hayo jana…

Makamba aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, ulinzi na usalama SADC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 26 wa Kawaida wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya…

UNEP kuleta neema Tanzania

Tanzania imeahidiwa na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) kuungwa mkono katika vipaumbele vya mazingira ikiwemo agenda ya nishati safi ya kupikia. Hayo yamejiri wakati wa mazungumzo kati ya Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais…

MSD yaanika mikakati ya kujiongezea mapato

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dodoma BOHARI ya Dawa (MSD), imedhamiria kuongeza uwezo wa kuhifadhi dawa kwa kujenga maghala na kuangalia maeneo ambayo yatapunguza gharama za usambazaji pamoja na kuimarisha mifumo ya TEHAMA inayohusu usimamizi wa maghala na ushiriki kwenye kutengeneza…